+255 712 345 678 info@bigsaleagent.co.tz

Our Mission

Kuwaunganisha Watanzania na fursa za kiuchumi kupitia uwekezaji salama na endelevu katika ardhi.

Our Vision

Kuwa chimbuko la fursa na daraja la maendeleo ya kiuchumi kwa jamii kupitia ardhi, uwekezaji na masoko.

Our Goals

  • Kuwezesha watu wa tabaka zote kumiliki na kutumia ardhi kwa usalama na kwa kufuata taratibu halali.
  • Kutoa elimu na ushauri juu ya thamani na matumizi bora ya ardhi kwa maendeleo endelevu.
  • Kukuza uwekezaji wa pamoja na binafsi katika miradi ya kimkakati ya matumizi ya ardhi.
  • Kusaidia wajasiriamali kupata ardhi, mafunzo, mitaji na masoko kwa ajili ya miradi yao.
  • Kuweka mifumo rafiki ya kidijitali kwa ajili ya upatikanaji rahisi wa taarifa, huduma na masoko.

Our Values

  • Collaboration – Working together for success.
  • Integrity – Transparency and honesty at all levels.
  • Innovation – Continuously seeking new and creative solutions.
  • Professionalism – Upholding high standards and accountability.
  • Sustainability – Fostering long-term growth for the economy and environment.
Product Catalog

Product Catalog

Business Plaza
Business Plaza

Kwa mahitaji wa ujenzi wa jengo la biashara

Price: Tsh 600,000.00

Location: bagamoyo

Tsh 0

Kuku wa mayai na nyama
Kuku wa mayai na nyama

Tunauza kuku wa mayai na nyama tupo kibaha mile ,moja

Price: Tsh 50,000.00

Location: bagamoyo

Tsh 0

mbegu mahindi
mbegu mahindi

mbegu bora za mahindi kutoka mbeya,mahindi ya njano

Price: Tsh 2,000.00

Location: tegeta kibo

Tsh 0

kuku wa mayai
kuku wa mayai

PATA KUKU WA MAYAI KUANZIA KUKU 100

Price: Tsh 18,000.00

Location: BAGAMOYO

Tsh 0

Our Programs

WEZESHWA Program

Boosting businesses through digital marketing. ... This program connects small businesses to larger markets through e-commerce platforms, helping them grow globally.

Read More
Thamini Land Program

Maximizing land value through smart investment. ... Helping landowners realize full potential through sustainable development and smart planning.

Read More
Ardhi Salama Program

Promoting safe and legal land use. ... Ensures individuals and groups follow correct procedures, secure land ownership, and avoid disputes.

Read More
Opportunity Platform Program

Empowering entrepreneurs through skills and support. ... Training, mentorship, and funding access to help businesses thrive competitively.

Read More
Project for Sale Program(FAIDA) (PFS)

Building and selling land-based projects. ... Guiding investors through development and profitable sale of commercial projects.

Read More

Kuhusu Sisi

BIG SALE AGENT CO. LTD - Kampuni inayowaunganisha Watanzania kwa fursa za ardhi, uwekezaji, na maendeleo ya kiuchumi.

Programu Muhimu

Programu ya Wezeshwa

Inawaunganisha wajasiriamali na fursa za ardhi, mafunzo, mikopo, na masoko kwa ajili ya uwekezaji.

Programu ya Thamani

Inalenga kuongeza thamani ya ardhi kupitia ulinzi wa kisheria, usalama wa kimazingira, na uwekezaji wa maendeleo.

Programu ya Ardhi Salama

Inahakikisha ununuzi wa ardhi unafanyika kwa njia salama na halali, kuepuka migogoro na ulaghai.

Programu ya Faida

Inatoa miradi ya kimkakati ya matumizi ya ardhi kwa ajili ya faida ya kiuchumi na kijamii.

Programu ya Jukwaa la Fursa

Ni jukwaa la elimu na mwongozo kwa wananchi kuhusu fursa za ardhi, uwekezaji, na masoko.


Dhamira

Kuwaunganisha Watanzania na fursa za uwekezaji salama na endelevu katika ardhi.

Dira

Kuwa chimbuko la fursa na daraja la maendeleo ya kiuchumi kwa Watanzania.

Malengo
  • ✔️ Kumiliki ardhi kwa usalama.
  • ✔️ Matumizi endelevu ya ardhi.
  • ✔️ Kukuza uwekezaji.
  • ✔️ Mikopo kwa maendeleo.
  • ✔️ Zana za kidijitali.

Thamani Zetu

Ushirikiano

Kufanya kazi pamoja ili kufanikisha mafanikio makubwa katika maendeleo.

Uaminifu

Kujitolea katika uwazi na maadili bora ya kisheria.

Ubunifu

Kuboresha huduma za ardhi na uwekezaji kwa kutumia mbinu za kisasa.

Utaalamu

Kutoa huduma za kitaalamu kwa ufanisi na uhakika.

Project Summary

All Projects

eneo la madini
Project Image

Description: Eneo hili inatoa aina mbalimbali za madini kama vile dhahabu,alhamisi na madini meingine

Programs: WEZESHWA NA BIG SALE PROGRAM

Joining Fees: 20,000.00 Tsh

Created on 09 May 2025

Join

Contact Us

Contact Information

Phone: +255743223880

Email: info@bigconnection.com

Physical Address: Bagamoyo Road, Tegeta, Mjapan Complex

Find Us On The Map: