📰 Latest News

News Image
🔥 BIG DEAL! AFFORDABLE PLOTS (OFA KUBWA! VIWANJA NAFUU)

The plots have been surveyed and are available for phased payments. All social amenities are in place, and the distance from the main road is 1–2.5 km. All customers are welcome.
........................................
Viwanja vimepimwa na vinapatikana kwa malipo ya awamu. Huduma zote za kijamii zipo, na umbali kutoka barabara kuu ni km 1–2.5. Wateja wote wanakaribishwa.

News Image
VEGETABLE, POULTRY, AND FISH PROJECT (MRADI WA MBOGA, KUKU NA SAMAKI) – KISARAWE KISANGA

Mradi wa majaribio wa kilimo cha mboga, ufugaji wa kuku na samaki wazinduliwa Kisarawe Kisanga (hekari 14 kati ya 50). Ni sehemu ya mpango wa Wezeshwa unaotoa fursa kwa wawekezaji kushiriki katika kilimo na ufugaji wa kisasa. Maombi ya ushiriki yanaendelea kabla ya utekelezaji kuanza.
.......................................... Kampuni imetangaza kuanza kwa mradi wa majaribio (pilot project) wa kilimo cha mbogamboga na ufugaji wa kuku na samaki katika eneo la zaidi ya hekta 50 Kisarawe Kisanga, ambapo awamu ya kwanza (pilot) itahusisha hekta 14. Mradi huu ni sehemu ya mpango wa *Wezeshwa* unaolenga kuwapa wawekezaji na wadau fursa ya kushiriki katika sekta ya kilimo na ufugaji wa kisasa.
Wateja na washirika wote wanakaribishwa kuomba nafasi za kujiunga mapema kabla ya utekelezaji kuanza. Taratibu zote zikiwa katika hatua za mwisho, mradi unatarajiwa kuanza hivi karibuni na kutoa fursa kubwa ya maendeleo na faida endelevu kwa washiriki.