🌾 Farm Programs

Program Image
MPANGO WA SHAMBA KAMILI (PERFECT FARM PROGRAM)

Perfect Farm ni mpango wa kusaidia jamii kumiliki, kutumia, kulinda na kunufaika na
mashamba/ardhi yao kwa usalama endelevu.
Wamiliki wengi wa mashamba hukabiliwa na changamoto za kuyatumia na kuyaendeleza,
jambo linalosababisha uvamizi, migogoro au hata kunyang’anywa.
Mpango huu unatoa suluhisho kupitia huduma kuu 3:
1.Legal Protection – Ulinzi wa kisheria.
2.Physical Protection – Ulinzi wa kimwili.
3.Economic Protection – Ulinzi wa kiuchumi.


Perfect Farm is a program designed to help communities own, use, protect, and benefit from
their farms/land in a sustainable and secure way.
Many farm owners face challenges in utilizing and developing their land, which can lead to
invasions, disputes, or even dispossession.
This program provides solutions through three main services:
1.Legal Protection – Legal safeguarding.
2.Physical Protection – Physical safeguarding.
3.Economic Protection – Economic safeguarding.

Program Image
“FURSA YA UWEKEZAJI” - MPANGO WA SHAMBA KAMILI

Tunakaribisha Wawekezaji kwenye miradi hii ya faida “We welcome investors to participate in these profitable projects.”