đź’° Get Rich Programs

MPANGO WA TAJIRIKA  (GET RICH PROGRAM)
MPANGO WA TAJIRIKA (GET RICH PROGRAM)

Mpango wa Tajirika ni mpango maalumu unaolenga kuongeza thamani ya rasilimali
ardhi na kusaidia jamii kunufaika kiuchumi kupitia miradi ya kiubunifu na endelevu.
Mpango huu umeundwa kwaajili ya wamiliki wa ardhi na wajasiriamali wa kati na
wakubwa—mmoja mmoja au vikundi—ambao wanataka kutumia ardhi kama nyenzo ya
kujipatia kipato, kukuza biashara, na kujenga miradi yenye faida maradufu.



Get Rich Program is a special initiative aimed at increasing the value of land resources
and helping communities benefit economically through innovative and sustainable
projects. The program is designed for landowners and medium to large-scale
entrepreneurs—either individuals or groups—who wish to use land as a means of
generating income, expanding businesses, and developing highly profitable projects.

đź“„ View PDF
“FURSA YA UWEKEZAJI” - MPANGO WA  TAJIRIKA
“FURSA YA UWEKEZAJI” - MPANGO WA TAJIRIKA

Tunakaribisha Wawekezaji kwenye miradi hii ya faida “We welcome investors to participate in these profitable projects.”.

đź“„ View PDF